Boitique

Boitique

Tuesday, 10 September 2024

Mkutano wa Kimataifa wa Akili Bandia (GAIN) kufanyika Riyadh, Saudi Arabia

 

H.E. Mr. Yahya bin Ahmed Okeish - Ambassador of the Kingdom of Saudi Arabia to the United Republic of Tanzania.



Kuwaleta pamoja zaidi ya viongozi 300 wa Akili Bandia duniani



Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MKUTANO wa Kimataifa wa Akili Bandia (Global AI 2024) unaoandaliwa na Mamlaka ya ya Saudia ya Akili Bandia (SDAIA) unatarajiwa kufanyika mjini Riyadh, Saud Arabia Septemba 10 mpaka 12 huku ukitarajiwa kuwaleta pamoja viongozi zaidi ya 300 wa akili bandia.

 

Mkutano huo unatarajiwa kuwa na moja ya mikusanyiko muhimu zaidi katika Akili Bandia mwaka huu ambapo jana mamlaka hiyo imetangaza safu yake ya wazungumzaji wakuu.

 

Taarifa iliyotolewa Dar es Salaam jana na Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini, Yahya Bin Ahmed Okeish imesema mkutano huo ambao unaenda sambamba na Dira ya Saudi Arabia ya 2030 inayolenga kuleta uchumi mchanganyiko, umeandaliwa ili kukuza ushirikiano wa kimataifa na kuangalia uwezekano wa kuleta mabadiliko ya Akili Bandi katika sekta mbalimbali.

 

“Mijadala ya wazungumzaji zaidi ya 300 wakiwemo wavumbuzi, wasomi, watendaji, wadhibiti na watoa maamuzi kutoka nchi 100 duniani kote itazingatia Kaulimbiu ya mkutano huo isemayo "Sasa, ifuatayo, Kamwe". Ilisema taarifa hiyo.

 

Aidha taarifa hiyo imeelza kuwa vikao vitajadili athari za mabadiliko ya teknolojia kwa watu na jamii, faida halisi inayopata dunia kutokana na Akili Bandia, mwelekeo wa teknolojia wa siku zijazo na umuhimu wa kuzingatia maadili ili kuhakikisha kuwa uwajibikaji wa maendeleo ya Akili Bandia unakuwa katika sekta zote.

 

Mkutano huo utajumuisha safu ya kuvutia ya wazungumzaji wa kimataifa ikiwa ni pamoja na Cristiano Amon ambaye ni Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Qualcomm Incorporated, Nick Studer, Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Oliver Wyman Group, Dk. Marc Raibert ambaye ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Boston Dynamics, Marcelo Claure ambaye ni Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Claure Group na Julie Sweet ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Accenture.

 

Wengine ni Amandeep Gill, Mjumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya Teknolojia, Kathleen Kennedy ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha MIT cha akili ya pamoja, Alex Smola ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Boson AI, Andrew Feldman, Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Cerebras Systems, Dk. Chris Miller, Mkurugenzi wa kampuni ya Greenmantle na Caroline Yap, Mkurugenzi Mkuu wa Kimataifa kutoka kampuni ya Google Cloud.

 

Taarifa hiyo imewataja wengine kuwa ni Stefan Schnorr ambaye ni Waziri wa Nchi anayeshughulikia masuala Dijitali na Uchukuzi ya Shirikisho la Ujerumani, Charles-Edouard Bouée, Mwanzilishi Mwenza na Mshirika Msimamizi wa kampuni ya Adagia), Jonathan Ross ambaye ni Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Groq na Dk. Deepak Chopra ambaye ni Mwanzilishi wa taasisi Chopra.

 

Wakati huohuo Msemaji Mkuu wa Mamlaka ya Saudi Arabia ya Akili Bandia (SDAIA), Mhandisi Majed Al-Shehri, amesema mkutano wa Kimataifa wa Akili Bandia utakuwa ni tukio la kihistoria katika kuunda mustakabali wa Akili Bandia na kwamba Kaulimbiu ya “Sasa, Ijayo, Kamwe” ni muhimu sana kwani inawapa changamoto ya kuangalia athari za haraka, uvumbuzi wa siku zijazo, na majukumu ya kimaadili yanayokuja na maendeleo ya haraka ya teknolojia ya Akili Bandia.

 

“Hii ni teknolojia ambayo inatia matumaini sana, lakini tunapovumbua, pia hatuwezi kumudu kuikosea. Ni muhimu kwamba ushirikiano wa Akili Bandia uwe endelevu na kwa ajili ya kuboresha jamii. Ushiriki mkubwa wa viongozi wa kimataifa, haswa kutoka katika tasnia ya ushauri unaonesha jukumu muhimu la Akili Bandia katika mabadiliko ya biashara na uvumbuzi wa kimataifa na kujitolea kwao kwa ushirikiano katika kipindi ambacho tunatafuta namna ya kutatua maswali mengi ambayo teknolojia hii inayaibua." Alisema.

 

- MWISHO -


Global AI Summit (GAIN) to be held in Riyadh, Saudi Arabia

H.E. Mr. Yahya bin Ahmed Okeish - Ambassador of the Kingdom of Saudi Arabia to the United Republic of Tanzania.


The summit is set to bring together more than 300 AI leaders


By THE GUARDIAN Reporter

DAR ES SALAAM

MORE than 300 Artificial Intelligence leaders are expected to participate in the Global AI Summit 2024 hosted by the Saudi Data & Artificial Intelligence Authority (SDAIA) to be held in Riyadh, Saudi Arabia in September 10 to 12.

 

The summit is set to be one of the most important gatherings in AI this year and yesterday announced its line-up of headline speakers. The summit, which aligns with Saudi Arabia's Vision 2030 to diversify the economy, is designed to foster global collaboration and explore the transformative potential of AI across industries.

 

According to the statement issued by the Ambassador of the Kingdom of Saudi Arabia to the United Republic of Tanzania in Dar es Salaam Mr. Yahya bin Ahmed Okeish yesterday said the deliberations of over 300 speakers, including innovators, academics, executives, regulators and decision-makers from 100 countries worldwide, will be centered around the summit’s theme: "Now, Next, Never".

 

The statement said sessions will discuss technology’s transformative impact on people and communities, the real world benefits of AI, the technology’s future trajectory and the ethical considerations necessary to ensure responsible AI development across all sectors.

“As we approach the third edition of the Global AI Summit, we stand poised at the threshold of a new era, where AI's transformative power will be harnessed to explore AI through the lens of 'Now, Next, never examining the current state of AI, its future trajectory, and the ethical considerations necessary to ensure a desirable future. A future where the need for international collaboration to fully harness AI’s potential and manage its impact responsibly has never been more urgent.” The statement elaborated.

The summit will feature an impressive line-up of global speakers including Cristiano Amon (President & CEO, Qualcomm Incorporated), Nick Studer (President & CEO, Oliver Wyman Group), Dr. Marc Raibert (Chairperson, Boston Dynamics), Marcelo Claure (Founder & CEO, Claure Group), Julie Sweet (CEO, Accenture), Amandeep Gill (Secretary-General’s Envoy on Technology, United Nations), Kathleen Kennedy (Executive Director, MIT Center for Collective Intelligence) and Alex Smola (CEO, Boson AI).

 

Others are Andrew Feldman (Founder & CEO, Cerebras Systems), Dr. Chris Miller (Director, Greenmantle), Caroline Yap (Global Managing Director, Google Cloud), Stefan Schnorr (State Secretary, German Federal Ministry for Digital and Transport), Charles-Edouard Bouée (Co-Founder & Managing Partner, Adagia Partners), Jonathan Ross (Founder & CEO, Groq) and Dr. Deepak Chopra (Founder, Chopra Foundation).

 

Meanwhile, SDAIA's official spokesperson Eng. Majed Al-Shehri said the Global AI Summit will be a landmark event in shaping the future of AI-Shehri said the theme 'Now, Next, Never' is especially pertinent as it challenges them to consider the immediate implications, future innovations, and the ethical responsibilities that come with the rapid advancement of AI technologies.

 

He added that this is a technology that is hugely promising, but as they innovate, they also cannot afford to get it wrong. He said it is essential that AI integration is sustainable and for the betterment of society.

 

“The strong presence of global leaders, especially from the consulting industry, highlights AI’s pivotal role in business transformation and global innovation, and their commitment to collaboration as we seek to resolve the many questions that this technology raises." He said.

– END –

Thursday, 16 November 2023

Angola envoy urges community to engage in mutual beneficial exchanges

 By Correspondent Felix Andrew

THE ambassador of the Republic of Angola in Tanzania, Sandro De Oliveira has urged the community to take advantage of the available opportunities in two countries to engage in mutually beneficial exchanges.

 

He was speaking in Dar es Salaam over the weekend on the occasion of the celebration of Angola’s 48 independence anniversary with the Angolan community in Tanzania.

Ambassador Oliveira said they have been working tirelessly to strengthen the fraternal ties that unite two peoples and States.

 

“We should take advantage of the available opportunities on both sides to engage in mutually beneficial exchanges, among others, in the domains of trade, business, culture, science and technology and tourism “he said.

 

He said that later this year they will hold the First Session of the Joint Permanent Commission between Angola and Tanzania and subsequently the First Business and Investment Forum.

 

“In that regard, we would like to once again urge the business sector from Tanzania not to hesitate in investing in Angola in various sectors because the business environment has improved significantly since 2017, there are attractive incentives for key areas and an enormous potential for profitable businesses,” he said. 

 

He also said this year, contrary to the usual diplomatic reception, they  decided to join the Angolan Community in Tanzania in a more social event, to enable them  to exchange ideas more openly, to asses any preoccupation they may have and to savour the best that African culture in general, and Tanzanian culture in particular, has to offer, as well as to quench the thirst for some national cuisine. 

 

At the outset, we should use this occasion to pay homage to our fearless fighters who sacrificed themselves fully for the cause of the Angolan People and achieved the freedom that we enjoy today, he said.

 

According to him, their patriotism, their solidarity with oppressed Peoples, their bravery and courage should serve as a permanent compass in the struggle for economic liberation and sustainable development of their r magnificent Nation.  

 

On the other hand, he said they pay singular homage to the late Dr. António Agostinho Neto, Founder of the Angolan Nation and National Hero, who with vision and courage led the liberation struggle, notwithstanding the very difficult circumstances that prevailed at that time. 

 

The envoy said Tanzania played a decisive role in Angola’s independence, having given immeasurable political, technical, moral and material support.

 

Similarly, Tanzania hosted Angolan fighters in many areas of its territory, namely in Dar es Salaam, Mbeya, Dodoma, among others, he said.

 

It is worth reiterating that the delegation from the MPLA part headed by the late President Neto departed from Dar es Salaam to eventually proclaim the independence of Angola.

 

 

He noted that since the advent of peace in 2002, Angola has been marking many advances in all sectors of the economy.

 

“Simultaneously, we intend to reduce the economy’s dependence on oil as a way of eliminating the vulnerabilities from shocks in global markets”,he said.

 

To the Angolan students in Tanzanian, many of whom have concluded their studies and are waiting for their graduation, he said :we would like to encourage them to seek knowledge, experiences and best practices with the aim of returning to the Country and serve the motherland in various capacities. The future of Angola will be supported by you. 

 

 

On 11th November 1975, at the Independence Square in Luanda, the late President Neto, solemnly proclaimed, before Africa and the world, the Independence of Angola, ending a difficult armed liberation struggle from the Portuguese colonial yoke.




The Angolan Ambassador to Tanzania Sandro de Oliveira delivering the speech Ambassador's, High Commissioners and Angolan Community in Tanzania not in the picture in celebrating Angola's 48th anniversary on 11th November in Dar es Salaam Saturday night



Remarks on behalf of the Angolan Community in Tanzania by Mr. Hamilton Fungula, Coordinator of CAT








                                                                                    Live Music



Live Music


Live Music by Mpoto Theater Gallery 



Acrobatics
















Sunday, 19 February 2023

The occasion of the 44th Anniversary of I.R.Iran National Day and the 40th Anniversary of diplomatic relations with Tanzania. Held On Friday 10th February , 2023 at Dar es Salaam Tanzania.

 

The Minister for Foreign Affairs  and East African Cooperation Dr Stergomena Tax, delivering a speech at the function of Iran to Commemorate the 44th anniversary of National day of Iran and 40th anniversary of establishing of Diplomatic Relations between Tanzania and Iran, looking on right is Iran's Ambassador to Tanzania Hossein Alvand Bahineh at the reception held at weekend.

The Ambassador of the Islamic Republic of Iran to Tanzania Hossein Alvand Bahineh, showing some Memories photos displayed in the Wall to the Minister for Foreign Affairs East African Cooperation Dr Stergomena Tax, during the Occasion of the 44th anniversary of I.R Iran National day and 40th anniversary of Diplomatic Relations with Tanzania,at the reception held in the Residence of of the Ambassador in Dar es Salaam last Friday night.


The Ambassador of the Islamic Republic of Iran to Tanzania Hossein Alvand Bahineh, showing some Memories photos displayed in the Wall to the Minister for Foreign Affairs East African Cooperation Dr Stergomena Tax, during the Occasion of the 44th anniversary of I.R Iran National day and 40th anniversary of Diplomatic Relations with Tanzania,at the reception held in the Residence of of the Ambassador in Dar es Salaam last Friday night.

Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation Dr Stergomena Tax speaking to Media after delivering a speech, during the 44th anniversary. of  National day of Iran  and 40th anniversary of the establishing of Diplomatic Relations between Tanzania and Iran, looking on left is Iran's Ambassador to Tanzania Hossein Alvand Bahineh and right is officiall from the Embassy

Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation Dr Stergomena Tax speaking to Media after delivering a speech, during the 44th anniversary. of  National day of Iran  and 40th anniversary of the establishing of Diplomatic Relations between Tanzania and Iran, looking on left is Iran's Ambassador to Tanzania Hossein Alvand Bahineh and right is officiall from the Embassy

The Ambassador of Iran to Tanzania Hossein Alvand Bahineh together with Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation Dr Stergomena Tax cuts a cake to Commemorate 44th years of Iran National day and 40th anniversary of the establishing of Diplomatic Relations between Tanzania and Iran to the receipt held last weekend


Iran's Ambassador to Tanzania Hossein Alvand Bahineh delivering a speech

Mc and the Executive Director of the Embassy of Islamic republic of Iran


Thursday, 10 November 2022

A short ceremony to say goodbye to 50 Tanzanians to work in the kingdom of Saudi Arabia.

 


The permanent secretary – prime ministers office work, youth, employment, and disabled prof Jamal Katundu speaking



The representative from the Royal Embassy of Saudi Arabia's acting ambassador Mr. Fahad Alharbi



The representative from foreign affairs and East African co-operation


Across a section of 50 Tanzania youth who are going to work in Saudi Arabia



In a group photo, sited. Permanent secretary of the prime minister's office – work, youth, Employment, and disabled prof Jamal Katundu and a representative from the Royal embassy Fahad Alharbi and an official from the prime minister's office and foreign affairs, pose to a group with Tanzania Youth whose are going to work in Saudi Arabia.


Permanent secretary of prime ministers’ office prof Jamal Katundu Handing over the 50th contract  to the Almarai company through the Bravo job center of Tanzania Representative Abass Mtevu left is a representative of the Saudi Embassy Fahad






In a group photo, sited. Permanent secretary of the prime minister's office – work, youth, Employment, and disabled prof Jamal Katundu and a representative from the Royal embassy Fahad Alharbi and an official from the prime minister's office and foreign affairs.

Monday, 10 October 2022

The Egyptian defense 0ffice in dar es salaam marks the 49th anniversary of Egyptian armed forces day

 Egyptian Défense Attaché accredited to Tanzania, Brigadier General Sherief Farag celebrated the 49th Anniversary of the 6th October Victory which marks the Egyptian Armed Forces Day on a Reception at Johari Rotana Hotel in Dar es Salaam. Every year, the anniversary is celebrated with pride, jubilation, and a sense of fulfillment as the Great October War restored Egyptian people’s trust in their armed forces, when Sinai, a part of the sovereign territory of Egypt, had been liberated.

Ambassador Mohamed Gaber Abo Al Wafa, Ambassador of the Arab Republic of Egypt in Tanzania, Brigadier General Sherief Farag the Défense Attaché accredited to Egypt, and Lieutenant Colonel Mahmoud Yassin Assistant Défense Attaché was receiving all the distinguished guests.

Chief of Staff of the Tanzanian People's Défense Forces Lieutenant General Saloom Hegi Othman represented Mr. Innocent Bashungwa, the Minister of Defense and National Services in the event as the Guest of Honor.

Ambassadors, High Commissioners, and members of the Defense Attachés Association accredited to Tanzania, Chiefs, representatives of various missions, and the Egyptian Community in Tanzania attended the event in a good number

The Defense Attaché Brigadier General Sherief Farag gave his speech in which he congratulated the Egyptians, the armed forces, and the entire Arab World on the occasion of the 6th October Victory, and how Egypt could pass all the challenges that it faced during the last years, followed by the speech of the Chief of Staff Lieutenant General Salum Haji Othman, remarking the strong relations between Egypt and Tanzania, then memorial group photos had been taken.

During the event, The attendees watched a documentary video about Egypt, and the latest achievements in all fields, followed by a short video about Julius Nyerere Hydropower Project in Tanzania, which reflects the bilateral cooperation between the two countries.


The Egyptian Defence Attache Brg General Sherif Farag Mohamed addresing the audience

The Egyptian Defence Attache Brg General Sharif Farag Showing Egyptian histoc things to hte Guest of Honor Chief of Honor Chief of Staff of Tanzania Peoples Defence Forces Lt Gen Salum Haji Othman during the Occassion

The Egyptian Defence Attache to the defence office in Dar es Salaam  Brg General Sheriff Farag left, presenting a Victories Shield to the Guest of honor Chief of staff of Tanzania people's Defense Force Lt Gen Salum Haji Othman, to the Occasion of the 49th Anniversary of the October Victory Egyptian Armed forces day held in Dar es Salaam last weekend.



The Egyptian Defence Attache to the defence office in Dar es Salaam  Brg General Sheriff Farag left, presenting a Victories Shield to the Guest of honor Chief of staff of Tanzania people's Defense Force Lt Gen Salum Haji Othman, to the Occasion of the 49th Anniversary of the October Victory Egyptian Armed forces day held in Dar es Salaam last weekend



The Ambassador of Egypt Mohamed Gaber, Lt Gen Salum Othman ana Brg Gen Sherif Farag

Group Photograph with Guest of Honor 


The Egyptian Defence Attache Brg General Sharif Farag Showing Egyptian histoc things to hte Guest of Honor Chief of Honor Chief of Staff of Tanzania Peoples Defence Forces Lt Gen Salum Haji Othman during the Occassion


 




National Anthem

Watching Documentary




Invited Guest

Invited Guest


Defence Attache Brg Gen Sherif with his Spouse center and Assistance Attache Lt Col Mohamed wih his Spouse right with their invited guest left